Her Initiative kwa kushirikiana na DUMA wanakuletea PANDA (Tamasha la ujasiriamali, uvumbuzi na ajira kwa wasichana wa vyuo) litakalofanyika tarehe 26th november 2016 chuo kikuu cha dar_es _salaam katika ukumbi wa Yombo 4.Come and experience a great workshop,music and a comedy session. Nafasi za meza za maonesho bado zipo wasiliana nasi kupitia 0719458971.Follow us, like and share because "We are going all the way up" @her_initiative @her_initiative cc @lyencharles @iryn_e #PANDA #Goallthewayup #Jiwezeshe #jihamasishe #herinitiative
Evident marketing
Evident marketing
ALL THE WAY UP |
finally DUMA is up and Running #allthewayUP
ReplyDelete