Her Initiative kwa kushirikiana na DUMA wanakuletea PANDA (Tamasha la ujasiriamali, uvumbuzi na ajira kwa wasichana wa vyuo) litakalofanyika tarehe 26th november 2016 chuo kikuu cha dar_es _salaam katika ukumbi wa Yombo 4.Come and experience a great workshop,music and a comedy session. Nafasi za meza za maonesho bado zipo wasiliana nasi kupitia 0719458971.Follow us, like and share because "We are going all the way up" @ her_initiative @ her_initiative cc @lyencharles @iryn_e # PANDA # Goallthewayup # Jiwezeshe # jiha masishe Evident Marketing #herinitiative PANDA ALL THE WAY UP
Dar es Salaam University Marketing Association (DUMA) is a professional Association originating from Dar es salaam University Business School. Welcome to our Official Blog.